MUNGU AWE PAMOJA NANYI KILA SAA KILA SIKU ILI MUWEZE KUENEZA ZAIDI NENO LA MUNGU MAANA TUNAPATA KUPONYWA NA MAARIFA ZAIDI JUU YA NENO LA MUNGU NA BEATRICE KUTOKA HIMO
Juli 20, 2022, 5:58 nachm. GMT
Guest
naombeni link ya kuona live maombezi ya safina
Sept. 12, 2020, 6:07 vorm. GMT
Guest
NAJIFUNZA KUOMBA KUPITIA REDIO SAFINA MUNGU AENDELEE KUKUZA HUDUMA HII NIPO MOSHI
NAWAPATA VIZURI KUTOKA MOROGORO TANZANIA , MUNGU AWABARIKI
Aug. 4, 2020, 5 nachm. GMT
Guest
TUNAVIKWA UZIMA MPYA SIKU KWA SIKU NA KUHUISHWA ROHO NA NAFSI ZETU KUPITIA MAFUNDISHO YA SAFINA. MBARIKIWE SANA WATUMISHI WABEBA MAONO YA WATU WA MUNGU . Redemta kutoka arusha- tanzania
Juli 23, 2020, 10:41 vorm. GMT
Guest
Kwakweli unabii wa mwaka 2008 kuhusu tanzania utatimia kadiri watu wanavyozidi kumfahamu Mungu na kufunguliwa ktk vifungo mbalimbali vya adui. Mungu azidi kuwapa moyo mkuu watumishi wote wa redio safina kwa jinsi mnavyojitoa katika kulitangaza neno la Mungu. Mungu awatunze ninyi pamoja na vizazi vy
see more...
enu vyote.
Juli 23, 2020, 10:32 vorm. GMT
Guest
Bwana Yesu Asifiwe!Mungu awazidishie Radio Safina,kwani wengi tunapata tulizo la moyo,tunabarikiwa kwa neno la Mwenye enzi Mungu wetu.Nawapata kupitia mtandao. Nasi Njombe tupate Masafa ya redio Safina,NInaamini tutaipata kama mikoa mingine inavyobarikiwa kwa Radio Safina.Mbarikiwe sana!nawapenda.MU
see more...
NGU MWENYE ENZI YOTE AZIDI KUWABARIKIA.AMEEN!
Juli 17, 2020, 6:28 nachm. GMT
Guest
Bwana Yesu asifiwe!Safina nawapata kwa njia ya mtandao,Njombe.Mungu atubariki sote!Ameen.
Juli 2, 2020, 7:35 nachm. GMT
Guest
nawependa safina watumishi Mungu awabariki sana
Juli 2, 2020, 9:55 vorm. GMT
Guest
tunawapata vizuri hapa Pemba Mozambique kazi yenu ni njema utukufu kwa BWANA
By CNMatimba
NAITWA GLORY WIMMO KUTOKA DODOMA, MUNGU AWABARIKI WATUMISHI WA SAFINA ,PAMOJA NA MUHASIS WA SAFINA DOCTOR LEMA .NAZIDI KUBARIKIWA SANA KUPITIA MASAFA YENU KWENYE MTANDAO.BARIKIWA SANA WATUMISH.
Feb. 11, 2019, 11:04 vorm. GMT
Guest
MBARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU, NABARIKIWA SANA SANA KWA MAFUNDISHO NA MAOMBI KUPITIA MTANDAO. NIPO UK.
Sept. 5, 2018, 9:14 nachm. GMT
Guest
I am Anthony Massawe:
Spiritual broadcasting, leading in all East Africa. Mungu azidi kuwabariki muweze kuenea mikoa yote ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
Nov. 20, 2017, 5:19 vorm. GMT
Guest
Am teddy from mwanza, real namiss sana maombi ya radio safina japo huwa nasikiliza online, hasa napotafakari neema na baraka nilizozipata pindi nahudhuria maombi katka ukumbi wa radio safina, hakika nlimwona mungu kwa macho yng hasa kwa matendo makuu na ya ajabu aliyoyatenda kwangu n meng na ya ajabu sana mpaka nkikaa nakutafakari huwa najikuta nalia tu,heshima sifa shukrani na utukufu ni kwa bwana yesu
Juni 24, 2016, 5:09 vorm. GMT
Guest
Bwana yesu asifiwe watumishi wa Radio Safina mungu awazidishie nguvu,nawapata vizuri hapa Australia
Dez. 20, 2015, 9:54 vorm. GMT
Guest
Mungu wa mbinguni awabariki sana Watumishi wa Radio Safina, nawasikiliza kila siku, huku ni Uholanzi yaani Netherlands europe. Ni baraka kubwa sana kusikia vipindi vya Neno la Mungu kwa kiswahili ukiwa nje ya nchi.
Mbarikiwe sana.
Neema Kalugila
Nov. 20, 2015, 10:55 vorm. GMT
Guest
MERCY C MUNUO
MAOMBEZI NA MHUBIRI YAMENIBARIKI SANA MUNGU AZIDI KUWAFUNULIA MAFUNDISHO NASI TUWEZE KUFUNDISHA WATU WENGINE ILI TUZIDI KULITANGAZA NENO LA YESU KRISTO ABARIKI SAFINA MPATE TV SAFINA MIMI NATEBEA NANO LA YESU KRISTO MAFUNDISHO YA SAFINA NI MAZURI SANA
Feb. 7, 2015, 9:25 vorm. GMT
Guest
MERCY CHRISTOMFOO MUNUO
MUNGU WABARIKI WATUMSHI WA SAFINA KATIKA KULITANGAZA NENO LA YESU KRISTO NA SISI KULIPOKEA NA KULITENDEA KAZI YA KUMWOMBA MUNGU AWE KIONGOZI WA MAISHA YETU NA KULITENDEA KAZI
Radio Safina,inajenga, wakati unasikia kuvunjika moyo, au kuchoka akili ,au kukosa imani ! wakati wowote , Radio Safina inakupa nguvu ,na unaweza kuiisikiza mahali popote ulipo,mimi naipata vizuuri baraabara sana nikiwa hapa ujerumani eneo la Stuttgart ! Hongera wote wanowezesha Radio Safina kuwa sssafi namna hio ! Nyote barikiweni !
Dez. 20, 2014, 5:44 nachm. GMT
Guest
Hivi Mungu bado hajawapa maono ya kuwa na SAFINA TV?Natamani siku moja kuona hili linatendeka.Mbarikiwe sana.
Okt. 17, 2014, 6:05 vorm. GMT
This website uses cookies for analytics and personalization. Click here to learn more or change your cookie settings. By continuing to browse, you agree to our use of cookies.