MTOTO WA SUD KIVU BUKAVU DRC KUTOKA USA,asante rfi kwa matangazo yenu ila sisi tunao wa fwata kwenye streema ,tuna sumbuliwa sana na kukatikakatika,please chunguzeni mitambo
Nov. 18, 2014, 4:17 nachm. GMT
Guest
asante sana rfi kiswahili.tunawafwata vizuri sana.
mimi ni Safari Sosthene
Tafadhalini washabiki wa RFI- kiswahili kuna mmoja wenu ambae anaeweza kunieleza jina la mwimbo na msanii aliye tunga mwimbo ule ambao una maneno yasemayo kuhusu kuteseka kwa wakongomani kuanzia zama za Lumumba hadi leo? Katika mwimbo huo tena wanasema kuwa kuna kitumaini kuwa kuteseka huko kutakwis
see more...
ha siku mmoja... Samahani jameni nielezeni kwani ningelipenda niusikiye mwimbo huo wote. RFI-kiswahili iliwahi kuucheza mwimbo huo kama mara mbili hivi ila sija jaliwa kupata jina la mwimbo wenyewe ao la msanii mwenyewe... Asanteni na nakushukuruni kabla ya jibu lenu...
Mai 25, 2014, 7:56 nachm. GMT
Guest
Asanten RFI kiswahili kwa matangazo yenu tunawapata vizuri kama vile mkoa wa mufindi iringa, njombe, mbeya, morogoro na kuendelea. KELVIN MSAKWA. toka mufindi iringa mgororo magunguli. naachia line.
Salongo Muyoboke kutoka hapa jijini Gisenyi-Rwanda, hapa nafwata RFIkiswahili kwenye internet 5kwa5
Asanteni kwa matangazo yenu. ( 250788588651, samuyoboke@yahoo.fr)
Noch keine Bewertungen. Sei der erste der eine schreibt
This website uses cookies for analytics and personalization. Click here to learn more or change your cookie settings. By continuing to browse, you agree to our use of cookies.