
Radio Maria Tanzania - FM 89.1 - Dar es Salaam
A Christian Voice In Your Home
Live
Radio Maria Tanzania
Über Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania is a broadcast Radio station from Dar es Salaam, Tanzania, playing Catholic, Christian and Gospel music as part of Radio Maria network of radio stations based in Milan, Italy. ------ Shows: ARK - SAFINA, Biblia kwa Njia ya Redio, Fikara, Fumbuka, Fungua Moyo Wako, Habari Kwa Uf…
Frequenz
89.1 FM
Sprache
Suaheli
Hörerbewertungen
naombeni mnijuze namna ya kupakuaa hii app yenu kwenye kidadavuzi mpakato,naombeni msaada katika hili swala wa ndugu wa hii redio
Nina furaha ya pekee kupata taarifa zote za muhimu kutoka radio maria. Niko huku Norway mji wa Hammerfest Kaskazini kabisa mwa dunia lakini naisikiliza Radio Maria ni kama niko hapo hapo Dar. Nasali Rosari Takatifu kila siku. Asante saana.
Desde criança, na altura de conflito bélico entre ( Frente de Libertação de Moçambique e exército Português), sempre ouvi a Rádio Tanzânia. Essencialmente nos programas de jioni njema, noticiário, cujo msomaje era " Juma Ngondae " , Bati Kombwa ". Obrigado Radio Tanzania. Schuluma
Sala zangu zote nazipata kupitia Radio Maria pamoja na umbali wote niliko huku Norway. Shukurani sana RADIO MARIA. Salaam, Gabriel Machotta.
Hongera sana radio maria, nawasikiliza vizuri kutoka wingereza, radio hii imekuwa faraja sana kwangu hasa wakati huu nipo mbali na nyumbani,nabarikiwa zaidi na huyu mama maria. Mzidi kuinjilisha.
Hongereni sana ndugu zetu, Mungu azidi kuwabariki na mama Maria awe karibu yenu sana na azidi kuwaombea Amina. vigelegele vya shangwe vya pigika huku ayeleleleleleleleleleleleaiii
Ninatoa hongera ya pekee kwa Sauti ya Radio Maria ambayo inanipa habari zoote za Tanzania mimi nilioko mbali sana huku Norway. Huwa najiona niko nyumbani kabisa ninaposikiliza Radio Maria.
Hongereni sana wapendwa wa Radio Maria Mungu awabariki kwa michango yenu. Itakayosaidia kuleta maendeleo ya kuendelea kulisikia Neno la Mungu. Nipo mbali na nyumbani lakini kwa ya Radio Maria ninapata kujua nini kinaendelea Tanzania!
Nawashukuru sana Radio maria Mmebadilisha sana maisha yangu kiroho. Nawaombeni sana kama itawezekana kipindi cha Fr. Christian Mhagama cha usiku kiwe na marudio muda wa Mchana kama itawezekana. Mimi Naitwa Greyson Mapunda Nipo Dar es Salaam.
Radio Maria? We acha bhana! mi niko huku mbali na ninaipata vizuri sauti ya Kikristu nyumbani kwangu. Mungu azidi kuibariki. John Didas Mlay
Häufig gestellte Fragen
Drücken Sie auf dieser Seite auf Play, um Radio Maria Tanzania live und kostenlos zu hören, ganz ohne Konto. Auf dem Handy hören Sie mit Simple Radio, der kostenlosen App von Streema für iOS und Android.
Radio Maria Tanzania sendet auf 89.1 FM in Dar es Salaam, Tansania. Auf Streema können Sie den Sender von überall online hören, ganz ohne Radiogerät.
Ja. Streema spielt den offiziellen Online-Stream des Senders ab. Sie können ihn also aus jedem Land hören, solange der Sender seinen Stream nicht regional beschränkt.
Radio Maria Tanzania hat auf Streema eine durchschnittliche Bewertung von 4,7 von 5, basierend auf 19 Hörerbewertungen.
Online-Streams fallen manchmal wegen der Server des Senders selbst aus. Versuchen Sie es in ein paar Minuten erneut, prüfen Sie Ihre Verbindung oder probieren Sie einen anderen Sender aus Dar es Salaam.
Nein. Streema ist ein unabhängiges Radioverzeichnis. Die offizielle Website von Radio Maria Tanzania finden Sie unter www.radiomaria.co.tz. Wenn Sie diesen Sender betreiben, können Sie eine Aktualisierung dieser Seite vorschlagen.
Kontakt
Mehr Radiosender in Dar es Salaam
In anderen Sprachen
- Diese Seite auf Englisch ansehen: Listen to Radio Maria Tanzania online
- Diese Seite auf Französisch ansehen: Écouter Radio Maria Tanzania en ligne
- Diese Seite auf Spanisch ansehen: Escuchar Radio Maria Tanzania en vivo
- Diese Seite auf Portugiesisch ansehen: Reproduzir Radio Maria Tanzania ao vivo







