
Live
Safina Radio
Über Safina Radio
Safina Radio FM is a broadcast radio station from Arusha, Tanzania, providing African music.
Frequenz
92.5 FM
Sprache
Swahili
Hörerbewertungen
Naitwa Lilian wa Arusha namshukuru Mungu wa Safina kwa matendo yake makuu nimekuwa nikikesha nayo Hakika Mungu amenionekania ameniponya naomba kwa kongamano hili yaliyosalia yakaondoke kabisa, na mwanangu Faith akapate grade A kwenye mitihani yake ya Taifa na Mungu akampe shule nzuri ya kutoka kwake.
Naitwa Melise niko Ilazo Dodoma, hakika radio SAFINA imenitoa mbali sana, namshukuru Mungu na ninawashukuru watumishi wote wa hii radio ambayo nimeifahamu baada ya kuhamia Dodoma miaka nitatu iliyopita. Hakika nimebadilika sana sana na ninatamani siku moja nifike madhabahuni SAFINA.
NAITWA GLORY WIMMO KUTOKA DODOMA, MUNGU AWABARIKI WATUMISHI WA SAFINA ,PAMOJA NA MUHASIS WA SAFINA DOCTOR LEMA .NAZIDI KUBARIKIWA SANA KUPITIA MASAFA YENU KWENYE MTANDAO.BARIKIWA SANA WATUMISH.
MBARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU, NABARIKIWA SANA SANA KWA MAFUNDISHO NA MAOMBI KUPITIA MTANDAO. NIPO UK.
I am Anthony Massawe: Spiritual broadcasting, leading in all East Africa. Mungu azidi kuwabariki muweze kuenea mikoa yote ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
Mehr Radiosender in Arusha
In anderen Sprachen
- Diese Seite auf Englisch ansehen: Listen to Safina Radio online
- Diese Seite auf Französisch ansehen: Écouter Safina Radio en ligne
- Diese Seite auf Spanisch ansehen: Escuchar Safina Radio en vivo
- Diese Seite auf Portugiesisch ansehen: Reproduzir Safina Radio ao vivo







